Skip to main content
Skip to main content

Familia Kayole zatafuta watoto waliopotea

  • | Citizen TV
    814 views
    Ripoti za watoto kupotea zimeendelea kuripotiwa nchini huku familia zaidi zikiendelea kuwatafuta watoto wao. Katika mtaa wa Kayole hapa Nairobi, familia moja inamtafuta mtoto wao wa miaka 17 huku nyingine ikipata afueni baada ya pacha waliokuwa wamepotea kupatikana baada ya majuma mawili.