- 1,022 viewsFamilia moja katika mtaa wa Gatwikira, Kibra inadai haki baada ya jamaa wao kuvamiwa na kumwagiwa maharagwe ya moto kwa kile kinachodaiwa kuwa msimamo wake wa kisiasa. Maureen Matsili anadai kuvamiwa na mtu anayemjua baada ya ubishi kuhusu kauli mbiu ya ‘two term’ siku ya mgomo wa kupinga bei ya juu ya mafuta.