Skip to main content
Skip to main content

Familia Kilifi yaomba msaada wa Shs4-milioni kugharamia upasuaji wa figo

  • | KBC Video
    167 views
    Duration: 5:02
    Familia moja eneo la Mtondia kaunti ya Kilifi, inahitaji kwa dharura shilingi Milioni nne, ili kumwezesha mtoto wao wa kiume kufanyiwa matibabu ya kupandikiza figo kuokoa maisha yake nchini India. Emmanuel Chakaya ambaye ana umri wa miaka 18 na mwanafunzi wa kidato cha nne, alilazimika kukatiza masomo yake kutokana na matatizo ya figo. Opicho Chemtai atuarifu kuhusu safari ya mvulana huyo tangu alipogunduliwa kuwa na matatizo ya figo mwaka 2019. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive