Familia kutoka Kisatiru Sabatia inahofia kuvamiwa baada ya kudai haki ya mpendwa wao aliyeuawa

  • | West TV
    37 views
    Familia moja kutoka kata ndogo ya kisatiru eneo bunge la sabatia kaunti ya vihiga inaishi kwa hofu ya usalama wao baada ya mshukiwa mmoja aliyemvamia kwa kumdunga kwa kisu mpendwa wao hadi kufariki kukosa kutiwa mbaroni miezi miwili baada ya kutenda kisa hicho, familia hio sasa inapokea vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana huku ikiomba asasi za usalama kumtia mbaroni mshukiwa