Familia moja kaunti ya Kisii inadai haki kwa mwanao aliyechomwo maji moto na mpenziwe

  • | Citizen TV
    1,290 views

    Familia moja kaunti ya Kisii inadai haki kwa mwanao mwenye umri wa miaka 20 ambaye anadaiwa kuchomwa usoni kwa maji ya moto na mpenziwe. Mwanamke huyo, ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuoni ameachwa na mzigo wa bili ya hospitali kufuatia kisa hicho. mwanafunzi huyo anadai kuwa familia ya mpenziwe inamshurutisha kuondoa kesi ya dhuluma ili wamlipie bili hiyo.