Familia moja katika eneo la Jibana, Kaloleni, kaunti ya Kilifi, inamtaka Mkurugenzi wa Hazina ya Maendeleo ya Serikali NGAAF, Ruth Bendera, kuomba msamaha mara moja kwa madai ya kuvuruga mazishi yao na kutoa taarifa za uongo kwamba alipigwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara nchini, Aisha Jumwa
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya