Familia moja kutoka kaunti ya Meru yataka mwili wa mwanao kurejeshwa nchini kutoka nchini Saudia

  • | Citizen TV
    1,111 views

    Familia moja huko Gikumene kaunti ya Meru wanaililia serikali kuwasaidia kuleta nchini mwili wa jamaa yao aliyefariki nchini Saudi Arabia mwezi mmoja uliopita.