Familia moja mjini Malindi yaomba usaidizi wa kuopoa maiti ya mwanao aliyeanguka baharini wiki jana

  • | Citizen TV
    314 views

    Familia moja kutoka mjini Malindi kaunti ya Kilifi inaomba msaada wa kuopoa mwili wa mpendwa wao ambaye aliaga dunia baada ya kuanguka baharini kutoka kwa daraja la Kilifi.