Familia moja Mwatate yadai haki

  • | Citizen TV
    486 views

    Familia ya julius mwafuga mkajuma mwamume mwenye umri wa miaka 31 na mkaazi wa kijiji cha Majengo -singila eneobunge la mwatate kaunti ya Taita-Taveta wanalilia haki yao baada ya jamaa huyo kufariki katika njia isiyoeleweka mikononi mwa polisi wa kituo cha Mwatate. inadaiwa kuwa jamaa huyo alipigwa na polisi na kisha kukamatwa baada ya kupatikana na pombe haramu.