Familia moja yaomba msaada wa Shs.10M kugharamia upandikizaji wa uboho kwa binti yao nchini India

  • | KBC Video
    19 views

    Familia moja katika eneo la Rongai, kaunti ya Kajiado inawaomba wahisani kuwasaidia kuchanga shilingi milioni 10 kugharamia upandikizaji wa uboho kwa binti yao mwenye umri wa miaka 10 anayetarajiwa kufanyiwa upasuaji huo nchini India. Mnamo mwaka wa 2022 Priya Flora aligunduliwa kuwa na ugonjwa wa Fanconi Anemia, hali adimu ambapo mwili huacha kutoa seli mpya za damu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive