Skip to main content
Skip to main content

Familia Mombasa inalilia haki baada ya kifo cha jamaa kwa njia isiyoeleweka

  • | Citizen TV
    450 views
    Duration: 2:34
    Familia moja huko Mombasa inalilia haki baada ya kifo cha jamaa yao kwa njia isiyoeleweka. Mfanyibiashara Desmond Barrack kutoka Nairobi anadaiwa kufariki akipokea matibabu hospitalini tarehe 27 Januari. Familia yake inadai marehemu alikuwa na majeraha kichwani huku hospitali ya Makadara ikidai aliyemleta alisema alipata ajali