- 807 viewsDuration: 3:00Familia moja mtaani Soweto - Kongwea kaunti ya Mombasa inamtafuta mtoto wao wa miezi mitano ambaye alitoweka tangu februari 7. Kulingana na familia hiyo, rafiki yao aliyekuwa amepewa hifadhi nyumbani kwao kwa muda ndiye aliyetoweka na mtoto huyo kwa takriban wiki mbili sasa