Familia Nairobi yahimiza msaada wa wahisani ili kulipia matibabu ya saratani ya tezi dume

  • | KBC Video
    41 views

    Familia moja jijini Nairobi inatoa wito wa msaada wa shilingi milioni-1 kutoka kwa wahisani ili iweze kulipia gharama ya hospitali ya jamaa wao anayeugua ugonjwa wa saratani ya tezi dume. Jacinta Nyokabi ambaye ni mama wa watoto watano amesema hali ya mumewe imefilisisha rasilimali za familia na kuwaacha kwenye hatari ya kupoteza kila kitu maishani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive