Familia nne kutoka Nakuru zalilia haki baada ya wana wao kupigwa risasi na maafisa wa KWS

  • | Citizen TV
    717 views

    Zogo La Samaki Ziwa Nakuru Familia Nne Zinalilia Haki Kaunti Ya Nakuru Wanadai Wana Wao Walipigwa Risasi Na Maafisa Wa Kws Inadaiwa Walipigwa Risasi Wakivua Samaki Ziwa Nakuru Polisi Wameanzisha Uchunguzi Kuhusu Kisa Hicho