Skip to main content
Skip to main content

Familia Nyaribari Masaba yazika mgomba baada ya kushindwa kutoa mwili wa ndugu Nakuru

  • | Citizen TV
    2,562 views
    Duration: 3:17
    Familia moja huko Nyaribari Masaba imelazimika kuandaa mazishi kwa kuzika mgomba wa ndizi baada ya juhudi za kuleta mwili wa mpendwa wao aliyefariki Nakuru kugonga mwamba miezi mitatu baada ya kifo chake. Jamaa za marehemu Obadiah Mokua ambaye mwili wake uko katika makafani moja mjini Nakuru wanasema wamefika mwisho kwani licha ya kuchangisha shilingi 100,000 bado wana deni la shilingi 312,000 wakisema heri wazike mgomba badala ya kutafuta fedha hizo.