Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Busia yadai mwanajeshi mstaafu wa KDF kupotea baada ya safari ya ajira Urusi

  • | Citizen TV
    6,517 views
    Duration: 3:18
    Siku chache baada ya tetesi za ulanguzi wa binadamu kwa ahadi ya ajira nchini Urusi kuibuka, familia moja kaunti ya busia imejitokeza kuhusu kupotea kwa jamaa yao. Familia hiyo inasema mwanawao, ambaye ni mwanajeshi wa zamani wa KDF, aliondoka nyumbani mwezi mei mwaka huu kuelekea Urusi, baada ya kuripotiwa kuajiriwa na watu wanaoaminika kuwa na uhusiano na majeshi ya Urusi