Familia ya DJ Goodie, aliyedaiwa kuuawa na askari wa KDF, yalalamikia kucheleweshwa kwa haki

  • | NTV Video
    2,748 views

    Familia ya mcheza santuri Salim Moriasi, maarufu kama DJ Goodie, aliyedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Kenya (KDF), Tonny Atieno mwaka wa 2022 katika hoteli moja eneo la Mariakani, Kaunti ya Kilifi, inalalamikia kucheleweshwa kwa haki na kile wanachokitaja kama juhudi za kuficha ukweli kuhusu kifo chake.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya