- 3,687 viewsDuration: 3:03Familia ya Everlyne Amagove inatafuta ukweli kuhusu kifo cha mwana wao aliyefariki nchini Oman, alikokuwa amekwenda kufanya kazi. Familia yake inataka vyombo vya serikali kuchunguza ni vipi Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 33 alisafirishwa nje na wakala licha ya kuwa katika hali mbaya ya afya, ikitilia shaka stakabadhi zinazoonyesha kuwa Everlyne alifariki kutokana na mshtuko wa moyo