Familia ya Kapteni Hillary Litali aliyefariki katika ajali ya helikopta inaomboleza

  • | Citizen TV
    7,492 views

    Familia tatu katika kaunti za Kirinyaga na Nakuru zinaomboleza vifo vya wapendwa wao waliokuwa miongoni mwa wanajeshi walioandamana na marehemu Jenerali Francis Ogolla Kewe ziara hiyo iliyotokea katika eneo la Sindar kaunti ya Elgeyo Marakwet. Kaunti ya Kirinyaga inaomboleza vifo vya Sajini Mkuu John Kinyua Muriithi kutoka kijiji cha Kirimunge na Sajini Rose Nyawira kutoka eneo la Kagio huko Mwea. Katika kaunti ya nakuru familia yake Kapteni Hillary Litali. Na katika kaunti ya Mombasa, familia ya Brigedia Swaleh Said inajiandaa kwa mazishi.