Skip to main content
Skip to main content

Familia ya kasisi Ndumia yataka haki baada ya ripoti kuonyesha alikufa kwa kukosa hewa na majeraha

  • | Citizen TV
    471 views
    Duration: 1:23
    Familia ya kasisi Julius Ndumia, aliyepatikana ameuwawa katika Kanisa la Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Tabuga, Kaunti ya Nakuru, inataka haki baada ya ripoti ya upasuaji kuonyesha kuwa marehemu alifariki kwa kukosa hewa na kuvuja damu kutokana na majeraha kichwani.