Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Kevin Maseri aliyepigwa risasi Kitengela yasema haitamzika hadi washukiwa wakamatwe

  • | Citizen TV
    394 views
    Duration: 2:31
    Familia ya jamaa aliyepigwa risasi kufuatia vurugu katika klabu moja mtaani Kitengela imesema hatamzika hadi waliomuua wakamatwe na kushtakiwa. Haya ni huku ripoti ya upasuaji wa mwili wa marehemu, Kevin Maseri, ukubaini kuwa alipigwa risasi mbili zilizosababisha kifo chake