Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Mlolongo yaomboleza vifo vya watoto watatu waliodaiwa kuuawa na mama mzazi

  • | Citizen TV
    10,552 views
    Duration: 2:34
    Familia moja mtaa wa Mlolongo kaunti ya Machakos inaomboleza vifo vya watoto watatu wanaodaiwa kuuawa na mama mzazi aliyewapa sumu kwenye chakula kabla ya kutoweka. Mshukiwa Linet Munala aliyekamatwa baadaye anadaiwa kuwaua wanawe watatu mapema juma hili kufuatia mzozo wa kinyumbani kati yake na mumewe.