29 Oct 2025 10:36 am | Citizen TV 571 views Duration: 1:09 Familia ya mtoto Mohamed Ali aliyeibwa Jumapili mchana mtaani Kiamaiko hapa Jijini Nairobi sasa imetangaza kutoa zawadi ya shilingi nusu milioni kwa yeyote atakayempata mtoto huyo.