- 1,634 viewsDuration: 1:42Familia moja kutoka kule Bomariba Bonchari kaunti ya Kisii inalilia serikali kuwapa majibu kuhusu kifo cha mpendwa wao Clinton Mogesa, kijana mwenye umri wa miaka 29 aliyepatikana ameaga dunai nchini Urusi baada ya kuhadaiwa kujiunga na jeshi katika mapigano baina ya taifa hilo na Ukraine.