Familia ya mwanablogu Albert Ojwang yadai majibu kwa serikali

  • | Citizen TV
    579 views

    Familia ya marehemu Albert Ojwang sasa inataka taarifa kamili ya maelezo kuhusu kifo cha ghafla cha mwanawao. Familia hii ikisema inashangazwa na kifo hicho kufuatia kukamatwa kwake akiwa nyumbani kwao na maafisa sita wa usalama.