Familia ya mwanafunzi wa MKU aliyeuawa Nakuru yalilia haki

  • | Citizen TV
    3,062 views

    Familia Ya Mwanafunzi Aliyepatikana Ameuwawa Jumatatu Wiki Hii Eneo La Rongai,Kaunti Ya Nakuru Ilikuwa Na Dhana Kuwa Mwana Wao Alikuwa Akiendeleza Masomo Yake Katika Chuo Kikuu Cha Mount Kenya Siku Ambayo Mwili Wake Ulipatikana Umetupwa Kwenye Shamba La Mahindi. Familia Hiyo Imetambua Mwili Wa Mwana Wao Hii Leo Na Kutaka Uchunguzi Wa Kina Kufanyika Ili Kutambua Aliyetekeleza Mauwaji Ya Mwana Wao.