Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Seme yaomboleza vifo vya jamaa watano katika ajali ya Gilgil

  • | Citizen TV
    4,419 views
    Duration: 2:27
    Familia moja kutoka eneo la Seme, Kaunti ya Kisumu, inaomboleza vifo vya jamaa zao watano waliofariki katika ajali ya barabarani walipokuwa wakirejea Nairobi kutoka mazishini. Ajali hiyo ilitokea jana usiku katika eneo la Kikopey, Gilgil, Kaunti ya Nakuru.