Familia ya Tamara yapinga kucheleweshwa kwa haki na uamuzi wa mahakama

  • | NTV Video
    319 views

    Familia ya mtoto Tamara Blessing huko Nyeri imeeleza kutoridhishwa kwao na amri ya hivi karibuni ya mahakama kuu ya Nyeri, ambayo ilimpa mshukiwa fursa ya pili ya kuzingatia tena hatua yake ya awali ya kukiri kosa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya