Skip to main content
Skip to main content

Familia yadai haki ya mwana wao aliyepigwa risasi Nanyuki

  • | Citizen TV
    670 views
    Duration: 3:01
    Familia moja mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia, inatafuta haki baada ya kifo cha mwana wao ambaye anadaiwa kuuwawa na maafisa wa polisi. Marehemu Kelvin Macharia anayejulikana kama Mangili alipigwa risasi wiki iliyopita kwa tuhuma za wizi.