Skip to main content
Skip to main content

Familia yadhibiti uchunguzi wa kifo cha Constance, 22, Kileleshwa

  • | Citizen TV
    3,688 views
    Duration: 2:50
    Siku moja baada ya kifo cha msichana aliyedaiwa kuanguka kutoka nyumba moja mtaani kileleshwa, familia yake imemtambua huku ikidai haki na majibu kuhusiana na kifo chake. Haya yanajiri huku mshukiwa wa kifo hicho, Tonny Odhiambo akifikishwa mahakamani kibera ambapo wapelelezi waliomba muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi.