- 1,451 viewsDuration: 2:29Familia, marafiki na wanaharakati walifanya mazishi ya mwigo ya James Kamau, jamaa aliyefariki nchini Urusi. Familia ya marehemu ililazimika kufanya mazishi ya aina hiyo baada ya kukosa mwili wa mpendwa wao. Waliwasha na kuzima mishumaa 33 kuashiria miaka aliyoishi James