Familia yakadiria hasara baada ya ya shamba lao lililokuwa na mimea kuporomoka Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    709 views

    Familia moja katika kijiji cha Kokwongoi, Wadi ya Lelan, eneo bunge la Marakwet Magharibi kaunti ya Elgeyo Marakwet, inakadiria hasara baada ya shamba lao la ekari moja unusu lililokuwa na mimea kuporomoka.