- 12,392 viewsDuration: 2:54Zaidi ya wiki sita baada ya kutoweka kwa mama ya watoto watatu Caroline Mokeira akiwa na mumewe, familia yake inalalamika kuwa uchunguzi unajikokota. Familia ya Mokeira sasa ikiwataka wachunguzi huru kuingilia kati, wakisema hakuna hatua zozote zilizopigwa na idara ya polisi tangu kutoweka kwake tarehe 17 mwezi Oktoba.