Familia yalilia usaidizi Meru baada ya baba watoto kukatwa mkono na mashine ya kukatia nyasi

  • | TV 47
    110 views

    Familia yalilia usaidizi Meru.

    Familia hii ina watoto watatu walemavu.

    Wazazi wao walipata ulemavu tofauti pia.

    Baba watoto alikatwa mkono na mashine ya kukatia nyasi akiwa ameajiriwa.

    Mzigo wa kushughulikia watoto umebaki kwa mama.

    Familia wanaomba usaidizi wowote kutoka kwa wahisani.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __