Wanasayansi wabaini namna unavyohisi wakati wa kifo

  • | BBC Swahili
    7,387 views
    Kuna njia mbalimbali ambazo zinasababisha kifo, iwe kwa ugonjwa, kukosa hewa au ghafla tu Haijalishi jinsi inavyotokea, lakini ni hali ya mpito kutoka maisha haya hadi yajayo. Je sayansi inaweza kutuambia nini kuhusu hali ya nyakati hizo za mwisho? Mariam Mjahidi anatuelezea vile ambavyo unaweza kuhisi wakati wa kifo kwa mujibu wa Wanasayansi #bbcswahili #sayansi #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw