Mkenya Emmanuel Wanyonyi, alilazimika kuacha shule akiwa na umri wa miaka 10 na kuanza kufanya kazi ya kulisha ng'ombe kwa muda mrefu.
Lakini baadaye alifanikiwa kurejea na kuendelea na elimu kupitia kipato alichookusanya katika vibarua alivyofanya
Kujituma kwa Wanyonyi na ushupavu wake alianza kushiriki mashindano ya kanda nchini Kenya na kufikia hadi kiwango cha ubingwa wa Olimpiki.
Je safari yake ilikwaje?
#bbcswahili #kenya #olimpiki
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Jul 2025
- Former Law Society of Kenya (LSK) President Eric Theuri has criticized the government’s decision to charge arrested protesters with terrorism-related offenses, calling the move "ridiculous" and lacking any legal foundation.
21 Jul 2025
- A gang of over 10 people raided a coffee factory in Mwea East, Kirinyaga County tied and injured two night watchmen before escaping with 26 bags of the farm product valued at 1.8 million.
21 Jul 2025
- The arrest triggered widespread public attention, with authorities claiming to have recovered items that raised national security concerns.