Skip to main content
Skip to main content

Familia yaomba usaidizi kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka dubai

  • | Citizen TV
    2,479 views
    Duration: 3:38
    Familia moja katika Kijiji cha Rianchogu Bomachoge Chache kaunti ya Kisii inalilia serikali kuwasaidia baada ya mwanao, Frasha OGACHI ONTIRI mwenye umri wa miaka 28 kuaga dunia huko Dubai.