Familia yataka hospitali iachilie mwili wa mpendwa wao

  • | Citizen TV
    510 views

    Familia moja Kutoka Mjini kitengela kaunti ya Kajiado inafohia kuwa uhenda ikakosa kumzika mpendwa wao aliyefariki baada ya kupata ajali ya barabarani kufuatia deni kubwa ambalo Inadaiwa na hospitali.