- 2,379 viewsDuration: 3:03Familia moja hapa jijini Nairobi inamtafuta binti yao aliyetoweka mapema mwezi huu akiwa chuo kikuu cha Nairobi bewa la Kikuyu. Jane Atila aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili wa ualimu anadaiwa kumtembelea rafikiye wa kiume na tangu wakati huo hajaonekana