- 650 viewsDuration: 2:40Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wamewasilisha Kesi mbili mahakamani wakilenga kuhakikishia familia za waathiriwa makasa wa moto katika shule ya hillside endarasha haki. Wanaharakati hao wanataka familia za watoto 21 waliofariki kwenye moto huo kufidiwa na mahakama kuishinikiza serikali kuwachukulia hatua maafisa wa shule hiyo na wa wizara ya elimu waliofeli kuwahakikishia wanafunzi usalama shuleni