Familia za Gen Z kuandamana, kuweka maua nje ya Bunge

  • | NTV Video
    418 views

    Familia za vijana waliouawa wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka uliopita, watafanya maadamano na kuweka maua nje ya Bunge, ambapo waathiriwa wengi walifariki, ikiwa ni ishara ya kumbukumbu zao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya