Familia za waathiriwa Shakahola bado zinalia

  • | Citizen TV
    175 views

    Zaidi ya miaka miwili tangu mauaji ya halaiki katika msitu wa Shakahola huko Malindi, familia za waathiriwa bado zimesalia na makovu na uchungu mwingi. Baadhi ya familia hizo hazijapata majibu hadi sasa kuhusu wapendwa wao waliotoweka au kuweza kuwazika. Familia hizo sasa zinailaumu serikali kwa kuzitelekeza