Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa ajali ya Keroka waomboleza huku wakitaka barabara hatari kushughulikiwa

  • | Citizen TV
    2,138 views
    Duration: 3:03
    Familia za watu watano walioaga dunia kwenye ajali ya barabarani eneo la Keroka kaunti ya Kisii wameendelea kuomboleza jamaa zao huku wakianza maandalizi ya mazishi. Wakaazi wanaoishi maeneo kulikotokea ajali sasa wakisema barabara hiyo imechangia vifo vya watu 20 katika siku za punde, wakitaka hatua za dharura kuchukuliwa kudhibiti hali