Familia za waathiriwa wa jamaa wao waliotoweka zapinga kauli ya Rais Ruto kuwa wamerejea nyumbani

  • | Citizen TV
    2,222 views

    Matamshi ya Rais William Ruto kwamba waandamanaji wote waliotekwa nyara wameachiliwa yameendelea kuibua hisia kali. Familia za waliotoweka wakitofautiana na matamshi haya wakisema miezi kumi na moja baadaye bado wapendwa wao hawajulikani waliko.