- 345 viewsDuration: 3:07Serikali imeendelea kushinikizwa kukomesha zoezi la usajili wa wakenya kwa ajira nchini urusi, kufuatia vifo vya wakenya kadhaa nchini humo. Familia za waathiriwa zikiwa na maswali chungu nzima baada ya kukosa maelezo yoyote kuwahusu wapendwa wao waliosafiri hadi nchini humo.. Shinikizo hili limetolewa kijijini Kinuri, huko Mukurwe-ini, wakati wa hafla ya mazishi ya Charles Waithaka, mmoja wa waliofariki Kwenye vita kati ya urusi na Ukraine, mazishi hayo yakiendesha bila mwili wa marehemu.