- 1,919 viewsDuration: 3:15Familia za waliopoteza wapendwa wao kutokana na maandamano ya kizazi cha gen Z mwaka jana huko Mombasa pamoja na jamaa waliotoweka au kuaminika kutekwa nyara na polisi zinalilia haki. Wanasema imekuwa vigumu kufunga ukurasa huo