Skip to main content
Skip to main content

Familia zafika makafani ya City kuitambua miili ya waathiriwa wa mafuriko

  • | Citizen TV
    8,716 views
    Duration: 2:46
    Familia kadhaa zilifika katika makafani ya City siku ya Jumapili kutambua maiti za jamaa zao walioangamia kufuatia mafuriko makali yaliyoshuhudiwa siku ya ijumaa hapa Nairobi. Kufikia sasa familia 15 zimetambua maiti huku baadhi ya familia pia zikiendelea kuwatafuta jamaa zao wanaohofiwa kusombwa na mafuriko hayo.