Skip to main content
Skip to main content

Familia zaidi ya 3,000 zimo kwenye hatari ya kusombwa na maji

  • | Citizen TV
    379 views
    Duration: 1:02
    Familia zaidi ya elfu tatu Kwenye kaunti nane za eneo la kati, zimo katika hatari ya kusombwa na mafuriko na kauthirika na Maporomoko ya Ardhi. Hii ni Kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu eneo hilo ambalo limedhibitisha kuwa tayari, familia 48 zimeathirika msimu huu wa mvua.