Familia zaidi zaendelea kuchukua maiti za jamaa zao, Shakahola

  • | Citizen TV
    761 views

    Familia za wahanga wa mauwaji ya Shakahola zimeendelea kuchukua miili ya wapendwa wao katika makafani ya malindi kwa siku ya pili hii leo. Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki akisema kuwa serikali itazisaidia familia ambazo maiti za jamaa wao zilitambuliwa ili kuwasafirisha nyumbani kwa mazishi.