Familia zaishi katika mapango kwenye fukwa ya bahari kwa kukosa makao

  • | NTV Video
    239 views

    Katika fukwe tulivu za Pwani ya Kenya, mahali ambapo watalii huja kutafuta amani, wapo wanaume na familia wanaolala mapangoni kando ya bahari.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya